Rooms3
Area650 m2
Description :
Nyumba2 za kisasa zinauzwa zipo tabata kinyerezi bei milioni 160 kwa zote nyumba2, kila nyumba ina vyumba3 kimoja master nasebule jiko na choo kila nyumba inajitegemea kila kitu zina hati luku na parking yake ina frem3 za maduka ni kona plot nyumba zipo sehemu safi kazi mpya ya kuanza mwaka fresh sqm650 kwa maelezo zaidi tupigie simu.