Rooms3
Area2500 m2
Description :
Nyumba inauzwa ipo kibaha kwa mathias,umbali wa kilomita 2 kutoka barabara kubwa,kuna umeme maji na nyumba ipo sehemu nzuri ya tambalale na eneo lina ukubwa wa robo heka.mauzo yaweza fanyika kwa awamu.