Rooms3
Area400 m2
Description :
Bei mpya ya leo naanza na hii nyumba kwa sasa bei ni milion 39 bei ya kutupwa ipo bunju B njiaya mabwe pande ina Hati miliki ya wizara( Title Deed) narudia naitupa bei milioni 39 tu offa hii kwa ajili ya sikukuu ya Id na pasaka wahi pia tunazo nyumba za milioni30 maeneo ya Mtoni kijichi sehemu safi na tabata kinyerezi tupigie simu tukusaidie.