Rooms13
Description :
❤️ENEO NI KUUBWAA SANA NA LIPO STEND KABSAA
UNAWEZA KUWEKA HATA FREM MBELE au kuongeza vyumba vingne vya wapangaji na nafas ikabak kuubwa❤️
Ipo majohe kwa ngozoma jij ilala
💥Inauzwa miln 34 inapungua 💥
👉Eneo ni mita 50 kwa 23✍️
Umeme upo
Ina jumla ya vyumba 13 (pamoja na boma) masta zipo
Whatsap au piga