Rooms4
Description :
Ofa ya mda mfupi ukichelewa bei inapanda
ipo ukonga majohe jiji ilala
💥bei ml 30💥
ina vyumba4 vyakulala kimoja masta sitingroom dainingroom pablc toileti jiko, aluminium, jipsam na tailz
👉nyaya za fens✍️
unatembeabtu had stend
whatsap au piga.