Rooms6
Description :
Wahi mapema ulipie
ipo msongola shule jiji la ilala
milion 27 inapungua
ina jumla ya vyumba 4
sebule na frem 2
maji na umeme na jipsam
ipo karbu sana na shule ya msingi na secondary
hospital na stend pia
mita 25 kwa 16< njoo ukague ulipie