Rooms5
Area1080 m2
Description :
Nyumba inauzwa Mbweni Mpiji.
Ukubwa wa eneo Sqmt 1080
5 bedrooms, 3 ni master bedrooms,
Big sitting room
Dining room
Kitchen with cabinets
Store
Public Toilet
Kila chumba kina A/C
Garden,
Enough Parking space
Nje Kuna store, Jiko la nje, na choo Cha nje.
Pia Kuna container ambayo inaweza tumika kama office.
Nyumba ipo kwenye very good neighborhood.
Ina Hati miliki