Rooms6
Area1400 m2
Description :
Nyumba inauzwa ipo Bunju B Sokoni, ukubwa wa eneo ni Sqm 1400
Ni ya kumalizia kidogo
Ghorofa Ina vyumba 6 vyote ni master rooms
servant courter ina vyumba viwili, choo na bafu
Garden, Eneo kubwa la parking
Iko karibu sana na barabara kuu
Hati miliki ipo