Hii naandika kwa ajili ya wale wanaojiuliza nitajuaje kama nina tataizo la mvurugiko katika homoni za uzazi za kike na je, naweza kupona tatizo kama hili?
1. Ni ukavu ukeni hali ambayo inamfanya mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa na ni rahisi kupata mchubuko wakati wa tendo na ni rahisi kupata maambukizi mengine 2. maumivu wakati wa tendo la ndoa 3.Kutokwa jasho usiku. 4.Maumivu makali chini ya kitovu hasa wakati wa hedhi. 5. Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa 6.Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7(heavy menses) au kujaza pedi 1 kwa muda mfupi sana hata saa
7. Kukosa hedhi kwa muda mrefu na wakati mwingine damu yenye mabonge wakati wa hedhi
8. Kuhisi kuchoka mara kwa mara.
9. Hasira za mara kwa mara na
10. Kukosa usingizi
11. Mirija huweza kuziba wakati mwingine
UNAWEZA KUPONA KAMA UKICHUKUA HATUA SASA HIVI
HII NI SIRI MPYA KUBWA KULIKO KWA AJILI YAKO
Description :
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.