Health and Beauty

Health and Beauty  - Tanzania
  • Health and Beauty  - Tanzania
Description :

*ugonjwa wa sukari*

kwa nini mijini ndipo ugonjwa wa kisukari unaongezeka?

kuna ulaji wa vyakula vilivyoandaliwa bila kujali ubora mwilini bali wanaangalia muonekano wa kuvut ia machoni na wepesi wa kuiva haraka !

kongosho inazalisha kichocheo kiitwacho insulini kwa kazi ya kusaidia sukari itokanayo na vyakula vyenye wanga na sukari kuingia kwenye chembe hai za mwili ili kutumika kuupa nishati mwili.

ikitokea insulini ikawa haitoshi au ikakosa kutumika kwenye mwili ipasavyo basi sukari itakuwa nyingi mwilini na kuleta madhara kwa mhusika.

kongosho ni kiungo muhimu kwa uzalishaji wa insulini ya kuwezesha sukari mwilini kutumika ipasavyo ili mwili upate nishati ya kutosha na kuhisi una nguvu mwilini.

ukila vyakula bila kujali taratibu za milo iliyokamilika basi ujiandae kuleta mwilini maradhi kama presha, kisukari na mengine ya udumavu wa akili.

ukila vyakula vya wanga, mafuta na sukari kwa wingi utastukia mwili unazalisha magonjwa mengi, mfano unakunywa pombe, soda, chai ya sukari, chips na wali mweupe na pia kazi zako siyo ngumu za kukufanya ufanye mazoezi moja kwa moja au hufanyi mazoezi ya mwili.

sukari inayotakiwa mwilini ni kuanzia 4.5 hadi 7 kwa maana kabla ya kula na baada ya kula kama masaa 2 inakuwa katika wastani huo, ukiwa umekula itakuwa juu kiasi na ukiwa hujala kwa masaa kama 8 hivi inakuwa chini kiasi.

vyakula gani bora kula hata kabla hujapata tatizo la sukari kuwa juu?

kula: dona, maharagwe, mboga za majani,maziwa mgando, samaki, mchemsho wa ndizi, mhogo, viazi vitamu, karanga, korosho, ngano ya atta kwa chapati na jitahidi kunywa maji kwa wingi na kufanya mazoezi kila siku hata kwa kutembea.

kila unachokula kina kazi maalum mwilini ila inategemea unakula nini? Ukila vyakula visivyo salama utaharibu mwili wako na afya itakuwa mgogoro kiasi kwamba hali yako itadhohofika sana na kushambulia maradhi mengi.

kama unayo sukari ya kupanda usikimbilie dawa za hospitali kwani utakuwa tegemezi na utaharibu mwili wako na figo pia itaharibika kwani hizo ni kemikali zinazoleta madhara kuanzia kwenye ini, figo, moyo, mishipa, n.k

jitahidi kudhibiti sukari isikae juu kwa muda mrefu kwani ikiwa juu ndipo inaharibu macho, mfumo wa moyo, mishipa na ganzi kwenye miguu, mikoni na kila sehemu kwa kufanya damu isizunguke vizuri mwilini, kichwa na kumbu kumbu inapotea, nguvu za kiume na kike, kukauka uke na kuhisi sindano mwilini.

kwa mawasiliano zaidi
call or what's up

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data