Description :
Chuo cha Happylife College Arusha kinapenda kuwatangazia watu wote nafasi za masomo za muda mfupi na mrefu kwa kozi za HOTEL MANAGEMENT na TOUR GUIDE, Chuo kipo chini ya VETA, Chuo kinatoa huduma za malazi kwa gharama nafuu, Nafasi za field ni za uhakika,Kozi zote zinatolewa kwa gharama nafuu.Chuo kipo Arusha kwa mawasiliano zaidi .