Rooms8
Area900 m2
Description :
Guest House inauzwa mill 210 Iko Bagamoyo mjini
Ina vyumba nane vyote master
Ila pia Ina servant quarter
Kiwanja Cha mjengo kina square meter 900
Hati ya umiliki wa nyumba na ardhi vyote vipo safi
Guest house imekamilika kwa 90% (90 percent), Kuna maeneo madogo madogo yanahitaji finishing
Kwa maelezo Zaidi piga simu hizi chini