Description :
BF SUMA ni kampuni ya kimarekan ambayo makoa yake makuu kwa Tanzania yapo Dar es salaam
Wanatafuta wakala wanao weza kufanya nao kazi Tanzania mzima
Mafunzo kampuni itawajibika kukupatia
Malipo ya zaidi ya aina 4
1.Malipo ya Moja kwa moja(Papo hapo)
2.Malipo ya mwezi kutokana na wateja walio patikana
3.Malipo ya team yako kama
4.Zawad mbali mbali
Tunapatikana
Arusha
Dodoma
Mwanza
Dar es salaam na nk