Food Suppliments

Food Suppliments - Tanzania
Food Suppliments - Tanzania
Food Suppliments - Tanzania
  • Food Suppliments - Tanzania
  • Food Suppliments - Tanzania
  • Food Suppliments - Tanzania
Description :

NAMNA PEKEE YA KUMFANYA MTOTO APENDE KULA NA KUBORESHA AFYA YAKE.
WATOTO WASIOPENDA KULA.

Watoto wengi hua hawapendi kula hasa hasa matunda na mboga mboga,hivyo miili yao inakosa ulinzi ndo maana wanashambuliwa na magonjwa mbalimbali, Pia watoto wanakosa afya nzuri pengine hawali kwa wakati na wanachokula hakina virutubisho/nutrients pengine ni kwa sababu wanachagua vyakula.

Unaweza kumfanya mtoto wako kupenda kula kwa kuzingatia muda sahihi wa kula na pia kula nae,mtoto anafarijika na yeye anakula..

Ila pia kuna suluhisho kwa watoto wasiopenda kula, kama mtoto wako hapendi kula na afya yake inadhoofu unaweza kumpatia mychoco ambayo itampa hamu ya kula lakini pia atajipatia virutubisho stahiki na manufaa mengine mengi.
FAIDA ZA KUTUMIA DAWA NA LISHE KWA MTOTI AINA YA (MY CHOCO) KIAFYA

1. Ina ladha ya Chocolate huvutia watoto wasiopenda Kula
2. Inamsaidia Mtoto kumpa Hamu ya Kula
3. Inasaidia Mtoto kupata aina za VIRUTUBISHO 16,000 kutoka kwa Mimea asili, aina 12 za Mboga Mboga, aina 12 Matunda, aina 12 za Uyoga pamoja na 26 za Madini na Vitamin inayo hitajika katika Afya haswa Watoto
4. Fatty Acids zinasaidia kujenga nyama za Mwili
5. Amino Acids Husaidia katika Allergies kwa Watoto
6. DHA + (Omega 3) Husaidia Kumbukumbu kwa watoto, ufanisi wa Ubongo kwa watoto (Ukuuwaji wa Watoto)
7. InaMadini ambayo Husaidia Watoto wenye Ugonjwa wa Kifafa kupona kabisa

8. Inamsaidia Mtoto kuwa na Kinga imara za Mwili
9. Inaboresha Ufanis wa Ubongo (Brain Activity) DHA ENHANCEMENT
10. Inamsaidia Mtoto Kuwa na Afya Bora
11. Insaidia kuzalisha Chembe Hai, na Kumlinda na Magonjwa

Alkaline chocolate drink kwa afya bora ya familia yako na makuzi bora kwa afya ya mtoto inapatikana kwa Gharama ya Tsh 45000 tuu.
Wasiliana nasi Moja kwa Moja kupitia simu.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data