Fangasi Ukeni

Fangasi Ukeni - Tanzania
  • Fangasi Ukeni - Tanzania
Description :

JE❗VITU GANI VINAVYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI UKENI*

1. *MATATIZO YA HOMONI*
~ *(Homoni za kubadilika/kuwanyingi sana au kushuka sana) Hii inaweza Kusababishwa na ukomo wa hedhi,Ujauzito (MP) kuwa katika siku za mwezi,Matumizi ya dawa za Kuongeza kiwango cha homoni za kike zisizo sahihi*

2. *MATUMIZI YA ANTIBIOTICS*
*hizi huuwa bacteria wazuri na kubadiri PH ya uke*

3. *KUFANYA MAPENZI NA MTU ALIYE NA UGONJWA WA FANGASI ZA SEHEMU ZA SIRI BILA KINGA*

4. *KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI*
~ *Hii inaweza Kusababishwa na Magonjwa Mbali Mbali kama UKIMWI,KISUKARI,UNGUVU WA MADINI,VITAMIN NA VIRUTUBISHO MBALIMBALI VYA MWILI*

5. *ULAJI MBAYA HASA KUPENDELEA VYAKULA VYENYE SUKARI KWA WINGI (SUKARI NI CHAKULA KWA FANGASI HIVYO HUCHANGIA KUONGEZEKA)*

6. *KUKOSA USINGIZI NA MSONGO WA MAWAZO* kwa mawasilano zaidi pamoja na matibabu Tutafute kupitia simu namba

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data