Fangasi Na Uti

Fangasi Na Uti  - Tanzania
Fangasi Na Uti  - Tanzania
Fangasi Na Uti  - Tanzania
Fangasi Na Uti  - Tanzania
Fangasi Na Uti  - Tanzania
 • Fangasi Na Uti  - Tanzania
 • Fangasi Na Uti  - Tanzania
 • Fangasi Na Uti  - Tanzania
 • Fangasi Na Uti  - Tanzania
 • Fangasi Na Uti  - Tanzania
Description :

FANGASI UKENI

Inasababishwa na jamii ya fungi anaitwa CANDIDA. Seli za fangasi na bacteria wazuri huishi ukeni bila tatizo lolote.Tatizo linakuja endapo ukuaji wa fangasi hawa ukeni watakuwa wengi kushinda wazuri. Basi hapo ndio inapotokea ugonjwa wa fangas na miwasho mingi.

DALILI ZA FANGASI

1. Kukojoa mara kwa mara.

2. Mkojo kuwa na harufu kali.

3. Maumivu ya misuli na tumbo hasa chini ya kitovu.

4. Maumivu ya kiuno.

5. Kuwashwa sehemu za siri.

6. Kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana.

7. Kupata vidonda vya ukeni.

8. Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa inje wa uke.

9. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri baada ya tendo la ndoa.

10. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.

VISABABISHI VYA FANGASI.

1. Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai kwa mwanamke kipindi cha ujauzito, utumiwaji wa uzazi, wa mpango na kukoma kwa hedhi.

2. Upungufu wa kinga mwilini: Mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini kama vile mwenye kuugua kansa, ukimwi, magonjwa mbalimbali yenye kupunguza kinga ya mwili.

3. Kukosa usingizi stress, vidonda sehemu za siri,matumizi ya antibiotics, kuweka marashi sehemu za siri.

4. Watu wanaougua kisukari ambao hawawezi kudhibiti kwa kutumia dawa za kisukari, inakuwa kwenye damu na hicho kisukari ndiyo chakula kikuu cha hao fangasi.

Hata wanawake ambao wanapenda kula vyakula vya sukari nyingi kama vile chocolates, soda, na vingine vyenye sukari nyingi ambavyo ni chakula cha fangasi.

5. Mazingira ya joto hii inamaanisha nguo ambazo tunatakiwa kuvaa kama vile chupi za cotton hasa kwa wanawake, hazihitaji joto sababu bacteria wabaya wanakuwa wengi sana na kusababisha miwasho na FANGAS

6. Kondomu na mbegu za kiume huharibu hali ya asidi iliyopo ukeni ambayo ni ya muhimu sana maana inasaidia kukinga uke usiingiliwe na bacteria wabaya.

MADHARA MAKUBWA YA FANGASI

Kupatwa kwa ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) maambukizi katika via za uzazi na kupelekea kuwa mgumba, ndio maana wanawake wengi ni wagumba.

NAMNA YA KUJILINDA NA U.T.I NA FANGASI.

1. Tumia viini lishe na virutubisho i.e food supplements.

2. Kunywa maji mengi angalau glasi nane kwa siku.

3. Epuka matumizi ya pombe na kahawa.

4. Kunywa maji kabla ya kufanya mapenzi na kojoa baada ya kufanya mapenzi.

5. Jitawaze kuanzia mbele kwenda nyuma. (Front to Back)

6. Kata makucha marefu kwa sababu unavyokwenda chooni kujitawaza huwa baadhi ya uchafu unabaki kwenye makucha na ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa na U.T.I inayojirudia mara kwa mara.

7. Tumia pads zilizothibishwa na tbs ukiwa kwenye period au tumia pads za kufua

8. Ebuka kujipulizia pafyumu kwenye sehemu za siri.

9. Vaa nguo za ndani za pamba na epuka nguo zilizobana sana.

SULUHISHO LA WENGI.

Watu wengi wanapokuwa na fangasi huenda kupewa antibiotics ambazo huenda kuua bakteria wazuri na matokeo yake baada ya muda fangasi inarudi kwa kasi sana.

SULUHISHO BORA LA KUDUMU.

Tumia bidhaa za asili ambazo hazina kemikali ndani yake

Unapaswa wewe mwanamke usijioshee kila siku badala ya kuweka marashi au sabuni za chemical, zaidi huuwa bacteria wazuri na kuwaacha wale wabaya pia inaenda kurudisha na kulinda seli za uke kuzipa chakula seli na kurudisha sehemu zake katika hali ya usichana kutibu fangas na kuondoa harufu mbaya na majimaji mabaya ukeni
Hiyo Bidhaa Hapo itakusaidia kuondoa bacteria wanaoshambulia uke na kukuacha ukiwa safi na salama
Tumia Fermine wash itakusaidia kumaliza tatizo lako Kwa kujua namna ya Kuweka order unaweza kuwasiliana nasi

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data