FAHAMU TIBA UGONJWA WA PUMU

FAHAMU TIBA UGONJWA WA PUMU - Tanzania
  • FAHAMU TIBA UGONJWA WA PUMU - Tanzania
Description :

NJIA YA HARAKA NA UHAKIKA YA KUTIBU UGONJWA WA PUMU (BRONCHIAL ASTHMA)...✍️....?✍️....?✍️..?✍️?

Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles.

PUMU HUSABABISHWA NA NINI

➡Matatizo ya kinasaba:
➡Uvutaji wa sigara au tumbaku kipindi cha ujauzito pia unahusishwa na kusababisha pumu kwa mtoto atakayezaliwa.
➡Maendeleo ya kiuchumi
➡Magonjwa ya mapafu kama bronchitis
➡Vyanzo vya mzio (allergens) kama vile vumbi, vinyesi vya wanyama na baadhi ya vyakula.
➡Uchafuzi wa mazingira kama moshi na baadhi ya harufu kali.
➡Baadhi ya kemikali kwenye maeneo ya kazi hasa kwenye viwanda kama vya rangi, chuma, sementi na vigae.
➡Matumizi ya dawa za kushusha shinikizo la damu zilizo katika jamii ya beta-blockers kama vile propanolol.
➡Magonjwa kwenye mfumo wa kupumua yasabishwayo na baadhi ya virusi na bakteria kama vile rhinovirus, Chlamydia pneumonia au Bordetella pertusis.
➡Matumizi ya mapema sana ya baadhi ya dawa hasa antibiotiki kwa watoto.
➡Ongezeko la msongo wa mawazo.

DALILI ZA UGONJWA WA PUMU

➡Kuishiwa na pumzi na kupumua kwa shida
➡Kutoa sauti kama mtu anayepiga miluzi wakati wa kupumua (wheezing)
➡Kukohoa sana (chronic cough) hasa nyakati za usiku au asubuhi. Aidha kikohozi huambatana na kutoa makohozi mazito, yasiyo na rangi au yenye rangi ya njano.
➡Kubana kwa kifua.
➡Kwa mtu aliyepata shambulizi kubwa la pumu (severe asthmatic attack) anaweza kushindwa kuzungumza na pia kuwa na hali kama ya kuchanganyikiwa.

MATIBABU YA PUMU

Wasiliana nasi kupata Ushauri na TIBA

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data