FAHAMU TATIZO LA BAWASIRI NA TIBA

FAHAMU TATIZO LA BAWASIRI NA TIBA - Tanzania
  • FAHAMU TATIZO LA BAWASIRI NA TIBA - Tanzania
Description :

TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE} BILA UPASUAJI

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/MGOLO

➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

CHANZO CHA BAWASIRI

1. Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva

2. Tatizo sugu la kuharisha
Ujauzito

3. Uzito wa mwili kupita kiasi

4. Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)

5. Kupata haja kubwa ngumu

6.Kua na mgandamizo mkubwa tumboni

7. Kunywa pombe
8.Kula sana nyama nyekundu

9. Vidonda vya tumbo
10.Ngiri(Chango/Hernia

11. Kunyanyua vitu vizito

DALILI ZA BAWASIRI

1. Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa

3. Kutokewa na kiuvimbe katika tundu la haja kubwa

4 . Kupata kinyesi chenye damu

5. Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa

6. kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa

7. Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa

8.Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda

9. Uume kusinya (unapoteza urefu na ukakamavu)

MADHARA YA BAWASIRI

1. Upungufu wa damu mwilini
2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3. Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.Kupungukiwa kwa nguvu za kiume (kwa wanaume)

5. Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6. Kupata tatizo la kisaikolojia

7. Kutopata ujauzito

8. Mimba kuharibika

Tuna toa USHAURI na TIBA ya Bawasiri bila ya UPASUAJI.

Tunapatikana
Arusha
Mwanza
Dodoma
Dar es salaam

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data