FAHAMU SIRI YA MWANAMKE KUTOKWA NA HEDHI NYINGI.

FAHAMU SIRI YA MWANAMKE KUTOKWA NA HEDHI NYINGI. - Tanzania
FAHAMU SIRI YA MWANAMKE KUTOKWA NA HEDHI NYINGI. - Tanzania
  • FAHAMU SIRI YA MWANAMKE KUTOKWA NA HEDHI NYINGI. - Tanzania
  • FAHAMU SIRI YA MWANAMKE KUTOKWA NA HEDHI NYINGI. - Tanzania
Description :

He unapata hedhi yenye damu nyingi kupita kiasi?
Je ulishawahi kujifukiza sababu NI nn au inasababishwa na nn?
Umetafuta suruhisho lake bila mafanikio?

Hivyo Kama ni mmoja wa wenye tatizo Kama hili naomba twende pamoja make ujumbe ninaoenda kukupa unaweza kuwa suruhisho lake na ninasema hivyo kwa sababu Mimi mwenyewe nimejionea mke wangu alivyoteseka na hili tatizo kwa mda mrefu saana .Hivyo kabla sijaataja maumivu Kwanza tujue kutokwa hedhi nyingi NI nn?
Sasa twende pamoja.....

Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi.

Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni theruthi tu ya wanawake wenye shida ya hedhi hutafuta tiba stahiki kwa daktari wengi hukaa nayo kwa aibu au hofu.
Makala hii nimegusia katika lugha rahisi visababishi vya hedhi kutoka nyingi ili itoe mwanga kwa wanawake kutafuta tiba pale wanapokabiriwa na changamoto hii.

Je ni wakati gani mwanamke anatakiwa kuhisi kuwa anapata hedhi kupita kiasi?

Unapata hedhi inayozidi siku 7
Unapata hedhi nzito inayofanya ubadiri pedi moja ndani ya masaa mawili.

Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuvaa pedi zaidi ya moja.

Unapata hedhi nzito inayolowesha hadi nguo za nje.

Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuamka usiku kubadiri pedi
Hedhi inayotoka na mabonge
Sababu gani huweza kuchangia mwanamke kupata hedhi nzito kupita Kiasi?

Vivimbe kwenye kuta za mji wa kizazi; vivimbe hivi sio saratani huitwa fibroids.

Yai kupevuka bila mpangilio (Irregular ovulation) ; hali hii husababisha kuta za mji wa mimba zivimbe na kuwa nene hivyo kutoa damu nyingi. Hutokea zaidi kipindi cha kuvunja ungo na kipindi cha kukaribia ukomo wa hedhi
Matatizo ya kugandisha damu.

Matumizi ya dawa za kuzuia damu kuganda
Baadhi ya wanawake waliotumia vitanzi (IUD) hasa ndani ya mwaka wa kwanza.

Maambukizi ya mji wa mimba na mirija ya uzazi (PID)
Endometriosis.

Saratani ya mji wa kizazi; kwa kinamama waliofikia umri wa ukomo wa hedhi. Wakianza kupata hedhi isiyokoma huweza kuwa dalili ya ya saratani ya mji wa kizazi.

ATHARI ZA HEDHI NZITO KUPITA KIASI KWENYE AFYA
Hedhi nzito kupita kiasi huchangia wanawake wengi kupata upungufu wa damu.

Hedhi kuwa nzito kupita kiasi huweza kuwa ni dalili ambao unahitaji tiba ya haraka.

Huweza kuchangia kudhoofisha afya ya akili ya mwanamke ikiwemo kujiamini na wasiwasi.

Nini hufanyika unapomuona daktari kuhusu tatizo la kupata hedhi kupita kiasi ?
Unapomuona daktari atachukua historia ya afya yako kwa ujumla
Historia ya afya ya uzazi na mzunguko wako wa hedhi
Historia ya dawa zote unazotumia
Daktari atahitaji kukufanyia vipimo vya mwili ili kuangalia kama kuna kisababishi kinachochangia hedhi kutoka kwa wingi.

Daktari naweza chukua damu kupima wingi wako wa damu , kiwango chako cha homoni za uzazi pia na vipimo vingine kulingana na alivyokuona.

Daktari anaweza kukufanyia ultrasound ili kungalia mji wa uzazi na via nyingine za uzazi kama kuna tatizo.

Je ni tiba aina gani hutumika kutibu tatizo la kupata hedhi nyingi kupita kiasi?
Tatizo la kupata hedhi nyingi kupita kiasi hutibiwa kulingana na chanzo kilichosababisha tatizo hilo, afya yako kwa ujumla ndiyo maana hata mke wangu ilipomtokea ilisababishwa na maambukizi katika via vya uzazi na natumizi ya vitanzi,Lakini ninaweza kusema Hadi leo hii nashukuru mungu tukimsaidia na mpaka Leo hii Yuko vizuri bila shida yoyote ,Hivyo na wew Kama umewkuwa na tatizo hili usikubali kukaa nalo na pia utakuwa umeidhurumu nafsi yako Kama utashindwa kujaribu dawa tulizomsaidia Na kumponyesha mwenzako mwenye tatizo Kama lako,Hivyo usisite kutucheki tutakupa ushauri wa Bure na hata kukupa maelekezo ya dawa inayoweza kukuponyesha karibu saana..

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data