Fahamu Siri Ya Kujitibu Fangasi Sugu Sehemu Za Siri Kwa Mwanamke

Fahamu Siri Ya Kujitibu Fangasi Sugu Sehemu Za Siri Kwa Mwanamke - Tanzania
  • Fahamu Siri Ya Kujitibu Fangasi Sugu Sehemu Za Siri Kwa Mwanamke - Tanzania
Description :

je wewe umekuwa fangasi sugu?

je unamtafuta njia rahisi ya kujitibia?
sasa kama na wewe ni mmoja wa tatizo hili basi ujumbe huu ni muhimu saana na pia wa kufungia mwaka ukiwa na afya njema kabisa.hivyo soma ujumbe huu ninaoend

maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana duniani 75% ya
wanawake wote duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. fangasi ukeni ni miongoni mwa
magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. husababisha miwasho,
harufu mbaya, maumivu, majimaji, homa nk kiasi cha kuingilia ratiba na ufanyaji kazi
wa kila siku wa mtu. huweza kuwakumba wanawake wa aina zote, ila wanawake
wenye ujauzito huwa kwenye hatari zaidi. ukikosa matibabu mazuri unaweza
ukahangaika nao kwa muda mrefu sana, lakini ukipata matibabu mazuri basi ndani ya
muda mfupi tu unapona kabisa na kuweza kuwa vizuri.

hivyo kwa asiliamia kubwa kwa waliopata tatizo wengi wao baada ya kufanyiwa vipimo tumegundua fangasi imesababishwa na mambo mengi chungu nzima baadhi ya hayo ni kama yafuatayo.

maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi
aina ya candida albicans, maambukizi haya pia hujulikana kama yeast infections
candida albicans hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia chakula.

(pharynvisax), kibofu cha mkojo, uume au katika uke pia, bacteria hawa huishi katika
sehemu hizo bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika,
yanapobadilika, mfano mabadiliko katika hali ya ph tutambue ph ya mwanamke ndani
ya uke ni 4.0-4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo
huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali kama vile

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data