FAHAMU SABABU ZINAZOPELEKEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA NAMNA YA KUTATUA TATIZO

FAHAMU SABABU ZINAZOPELEKEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA NAMNA YA KUTATUA TATIZO  - Tanzania
  • FAHAMU SABABU ZINAZOPELEKEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA NAMNA YA KUTATUA TATIZO  - Tanzania
Description :

FAHAMU SABABU ZINAZOPELEKEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA NAMNA YA KUTATUA TATIZO Chagua Afya

Vyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

✍️Kisukari

✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi

✍️Matumizi ya madawa mbalimbali

✍️Umri hasa wazee

✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

✍️Kuwa na tatizo la kibofu

✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu

✍️Kutopata usingizi kamili

✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

✍️Kuwahi kufika kileleni

✍️Kukosa hamu ya mapenzi

✍️Kushindwa kurudia tendo la ndoa

✍️Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

✍️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

✍️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

✍️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

✍️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

SULUHISHO LETU LITAKUSAIDIA;

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data