FAHAMU MAGONJWA YA UUME NA TIBA ZAKE

FAHAMU MAGONJWA YA UUME NA TIBA ZAKE - Tanzania
  • FAHAMU MAGONJWA YA UUME NA TIBA ZAKE - Tanzania
Description :

MAGONJWA SITA YA UUME.
Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa au matatizo anayoweza kumtokea mwanaume katika uume wake kwa namna mbali mbali.
Tutayataja kwa ufupi :
1.PRIAPISM.
Ni hali ya kusimama kwa uume moja kwa moja zaidi ya saa 4 .

2.PEYRONIE'S
Ni tatizo la uvimbe katika tishu ya uume na kusababisha uume kupinda na kuwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Tatizo hili linaweza kumtokea mtu kama amepata ajali na kupelekea uume kupinda.

3.BALANITIS.
Ni Maambukizi katika kichwa cha uume.

4.PHIMOSIS.
Ni tatizo la kukaza au kubana kwa ngozi ya uume (foreskin) -govi na kutoweza kuirudisha nyuma
Tatizo hili hutokea zaidi kwa watoto au watu wazima ambayo hawajatahiriwa.

5.PARAPHIMOSIS.
Tatizo hili ni kama la hapo juu ila hapa ngozi ya govi inakuwa imejikunja juu ya kichwa cha uume na kushindwa kurudi katika hali yake ya kawaida.
Nalo pia huwatokea zaidi wasio tahiriwa.

6.SARATANI YA UUME.
Ijapokuwa sio tatizo linatokea sana kwa wanaume
Ni tatizo linaanzia kwa seli za ngozi za uume kubadilika.

NI WAKATI GANI UMUONE DAKTARI?
Ukiwa na mojawapo Kati ya haya ni vyema kumuona Daktari aliyekaribu nawe kwa uchunguzi zaidi.
1.Maumivu katika uume
2.Kuwa na uvimbe katika uume au uume kuvimba.
3.Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida katika uume.
4.Kuwa na vipele visivyopona au vidonda katika uume
5.Kutokwa na kibonge cha damu wakati wa kwenda haja ndogo au kwenye shahawa.
6.Unasimamisha kwa muda mrefu zaidi saa 4 na uume kushindwa kurudi katika hali yake ya kawaida
7.Ngozi ya govi kukaza na mkojo kushindwa kutoka vizuri.

Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri sasa.watsapp/piga/SMS.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data