FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO

FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
Description :

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, kama ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

•Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
•Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
•Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
•Kunywa pombe na vinywaji vikali
•Uvutaji wa sigara
•Kuto kula mlo kwa mpangilio
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili kama;
Nimeandaa program ya tibalishe inayoweza kutatua changamoto hii ambayo ni tiba asilia wasiliana nasi sasa

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data