FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE

FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE - Tanzania
  • FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE - Tanzania
Description :

Utangulizi

Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na mfumo wa Maisha, ulaji mbaya na Mazingira tunayoishi Kwa ujumla. Ugonjwa huu unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.

Wakati mwingine vidonda hivi huonekana kati ya tumbo na utumbo mdogo hivyo kitaalam unaitwa PEPTIC ULCERS, aina hii ya vidonda vya tumbo huwaathiri sana Wanaume kuliko wanawake. Bacterium' Helicobacter Pylori ndio husababisha ugonjwa huu.

DALILI ZA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO

Mwili kuchoka bila sababu maalum
Kuumwa mgongo au kiuno
Kupungukiwa nguvu za kiume
Kizunguzungu
Kukosa Usingizi
Kichefuchefu
Kiungulia
Tumbo kujaa gesi
Tumbo kuwaka moto
Kukosa choo au kupata choo kwa shida
Kutapika nyongo
Kutapika damu au kuharisha
Sehemu za mwili kupata ganzi
Kukosa hamu ya kula
Kusahau sahau na hasira bila sababu
Hizo ni baadhi tu ya dalili za kuwa na vidonda vya tumbo lakini zipo nyingi, hivyo basi pindi uonapo moja kati ya hizo dalili ni vyema ukaenda kupima vidonda vya tumbo mapema.

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Tuna dawa nzuri sana ya kutibu vidonda vya tumbo hakika utapona kabisa. Dawa hii ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo hata kama vimekuwa sugu Kwa miaka mingi vitapona tu.

Kwa mahitaji ya ushauri au tiba hii Wasiliana nasi

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data