FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE.

FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
 • FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
 • FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
 • FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
 • FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
 • FAHAMU KUHUSU KISUKARI /DIABETES NA MATIBABU YAKE. - Tanzania
Description :

KISUKARI "DIABETES".

Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mwili kushindwa kutengeneza insulini ya kutosha au insulini inayotengenezwa kushindwa kufanya kazi ya kuthibiti Kiwango cha sukari.

hutokeaje kisukari?

kuna aina mbili kuu za tatizo hili.
KISUKARI aina ya kwanza, ni aina inayotokana na sukari kushindwa kuthibitiwa kutokana na seli za kongosho kushindwa kufanya kazi ya kutengeneza insulini inayothibiti Kiwango cha sukari hivyo sukari (glucose) kupanda kwenye damu na kusababisha madhara.

KISUKARI aina ya pili ,ni aina ya kisukari ambacho insulini inakuwa inatengenezwa kwa kiwango kidogo au mwili hauitikii hiyo insulini na hivyo sukari kushindwa kuthibitiwa kutokana na insulini kushindwa kufanya kazi yake..

Kwani sukari ikipanda kwenye damu kuna madhara gani?
Sukari inayopanda katika damu ndio chanzo cha matatizo mengi yatokanayo na kisukari, matatizo ya muda mrefu na ya muda mfupi.

Kumbuka sukari kushindwa kuthibitiwa, maana yake ni kuwa hiyo sukari huwezi kuitumia Kwa matumizi ya kutengeneza nishati baadala yake mwili hutafuta njia mbadala ya kutengeneza nishati na kuanza kutumia fati iliyohifadhiwa.. fati hiyo iliyohifadhiwa kuanza kutumika hufanya Kiwango cha fati kwenye damu kuongezeka na kuweka mishipa ya damu kwenye hatari ya kuharibiwa na mafuta "endothelial injury & atherosclerosis".
Mishipa baadae inapoteza uwezo wa kutanuka na kusinyaa na baadae kupungua ukubwa "kuziba" hii inamuweka MTU kwenye hatari ya kupata shida ya shinikizo la damu kupanda , kiharusi na magonjwa ya moyo.

Mishipa midogo inapoziba,hupelekea matatizo ya figo, mishipa ya fahamu kufa ,miguu kuanza kupata ganzi, uoni hafifu(upofu) na hata mfumo wa chakula hutetereka, uwezo wa kuzuia au ku- control mkojo, tatizo la nguvu za kiume.

Dalili kuu za KISUKARI ni;
1.kula Sana "polyphagia"
2.kunywa Sana maji(polydipsia)
3.polyuria "kukojoa mara kwa mara"
4. Uchovu

NINI UFANYE UNAPOKUA NA KISUKARI?.
1. Control your diete ,Kula zaidi green leafy vegatables Kama Spinach, mchicha, mnafu ,kisamvu, majani ya maboga nk hizi Zina wanga calories kiasi kidogo.

2.kula nafaka zisizokoborewa Kama ugali wa Dona ,mchele wa brown ,mtama nk hizi zinafibers ambazo husaidia kufyonza Sukari.
3.kula Maharage ,Ni mazuri Sana Katika kushusha Sukari.
4. Pata Mwanga wa jua la Asubuhi ili Kuruhusu Mwili kupata vitamini D ,hii husaidia kucontrol kisukari epuka kulala Mchana.
5. Punguza msongo wa Mawazo, kusaidia kupunguza hatari zitokanazo na kisukari.
6. Kula matunda jamii ya Citrus Kam machungwa ,Limao nk
7.fanya mazoezi kupunguza uzito
USHAURI.
Epuka kutumia vyakula vinavyochangia Sukari kupanda, pangilia mlo wako vizuri unapoamka na uhakikishe atleast kila baada ya masaa Mawili unakula chakula kidogo ,Pia tunazo three months program ambazo utapatiwa ushauri na dawa, ama viini lishe/Naturalceutical ama chakula katika mfumo wa dawa ambazo hushusha Sukari ndani ya mda mfupi na kuiweka Sawa.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data