FAHAMU CHANGAMOTO ZOTE ZA MIFUPA NA MAUNGIO HAPA NA TIBA

FAHAMU CHANGAMOTO ZOTE ZA MIFUPA NA MAUNGIO HAPA NA TIBA - Tanzania
  • FAHAMU CHANGAMOTO ZOTE ZA MIFUPA NA MAUNGIO HAPA NA TIBA - Tanzania
Description :

✍🏼
•Uchambuzi wa kina wa mifupa na maungio na tiba na dozi kamili.

Gout/athirities chanzo kikubwa ni kuanzia kwenye mfumo wa chakula kuzalisha kiwango kikubwa cha uric aside na figo kushindwa kuchuja sumu na kuingia kwenye sehemu za mifupa na maungia na hizi urice aside hukaa kwenye maungio hasa vidole na magoti na kutengeneza uvimbe mwekundu watu wengi wamekuwa wakifanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe huo bila kujuwa chanzo bari hutibu madhara.
Dalili za uric aside
Uvimbe mwekundu kwenye maungio
Maumivu ya kuchoma choma.

Madhara ya uric aside
Uric aside ushambulia uteute na gegedu na kudhofisha mifupa.
1.ulemavu wakudumu
2.maungio na mifupa kusagana

Matibabu ya gout
1.Novel depele2*3
2.Probio3 1*2
3.Athroextra2*2 katikati na chakula
4.zaminacal2*1

Bidhaa hizi zitadili na chanzo kwenye mfumo wa chakula na kudili na madhara yaliyotokana na changamoto hiyo

Dozi kupona
TZsh lakimbili na elfu arobaini natano.
Dozi kamili


Oesteoarthritis
Ugonjwa unasababisha maumivu ya mifupa hasa kwenye maungio ya magoti na miguu kwenye viungo.

Sababu kubwa ya ugonjwa ni uzito mkubwa uliozidi

Watuwengi wanasumbuka na ugonjwa uu bila kujuwa chanzo na kutumia dawa bila mafanikio na kukata tamaa ya kutibiwa na hospital kupatiwa dawa za kutuliza maumivu ama kufanyiwa upasuaji na kuwekewa chuma bila kujuwa chanzo nini cha tatizo.

Suruhisho
Chanzo kitibiwe kwanza kabla ya tiba ya madhara ya changamoto

Bidhaa za kupunguza uzito kabla ya kutibu changamoto
1.Detoxlive 2*3 namaji ya uvugu vugu
2.veggie veggie 1*2 kunywa maji ya kutosha
3.probio3
Dozi
TZsh laki moja na elfu hamsini.
Bidhaa kutibu changamoto yako sasa
Arthroetra
Zaminacal
Micro2cycle3*3 kabla ya chakula
Gynseng coffee

Dozi
TZsh laki mbili na elfu sabini.

Rhumatoid arthritis
Ugonjwa kinga za mwili kushambulia mifupa na maungio
Changamoto hii huwakumba watu wanaofanya kazi kwenye baridi watu wanao endesha bodaboda, umri pia hupelekea ugonjwa uuh cell zinazo kufa ninyingi kuliko zinazo zaliswa ,kurithi ,kutembea peku kwenye sakafu bila viatu.

watuwengi wanao pata ugonjwa uuh wanapimwa vipimo mbalimbali lakini tatizo halionekani na wamekwenda kila hospitali hapati changamoto inayo msumbua.

✍🏼Changamoto maranyingi hukitokeza wakati wa baridi
✍🏼Maumivu makali hususani wakati wa baridi
✍🏼Kushindwa kulala vizuri
Na dalili nyengine zinazo wapata wagonjwa wa mifupa na maungio

Wagonjwa wengi wamekuwa wakitumia madawa ya kutuliza maumivu au dalili.

Suruhisho kama tulivyo ona sababu ni kinga za mwili kushambulia mwili

Utaitajika upate bidhaa za kuzuia kinga kushambulia mwili na kuzibalance na kuondoa madhara ya hii changamoto

Bidhaa kutibu
Pure&broken
Zaminacal
Artroextra
Micro2

Dozi kamili kupona
TZsh laki mbili na elfu arobaini natano.

Kama unachangamoto yoyote ya mifupa na maungio tafadharii wai matibabu madhara makubwa kwa magonjwa yote ni ulemavu wa kudumu.

Tuma ujumbe watsaap kama unaitaji huduma kutibu na kupona .
MB
gharama hazipungui.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data