Electric Pressure Cooker (Multi cooker)

Electric Pressure Cooker (Multi cooker) - Tanzania
Electric Pressure Cooker (Multi cooker) - Tanzania
Electric Pressure Cooker (Multi cooker) - Tanzania
  • Electric Pressure Cooker (Multi cooker) - Tanzania
  • Electric Pressure Cooker (Multi cooker) - Tanzania
  • Electric Pressure Cooker (Multi cooker) - Tanzania
Description :

TaTEDO KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZAKE (SESCOM) INAPENDA KUKUSHIRIKISHA FURSA YA KULIJUA, KULITUMIA NA HATA KUWA MJASIRIAMALI (WAKALA) WA JIKO LA SESCOM ELECTRIC PRESSURE COOKER LENYE FAIDA ZIFUATAZO:

1. KUPUNGUZA BAJETI YA GESI, MKAA NA UMEME, KEROSENE KUPIKIA KWA 85%. (SAVE MONEY)

2. KUSAIDIA TIME MANAGEMENT (JIKO LINAPIKA KWA MUDA MFUPI NA BILA KUITAJI UANGALIZI WAKARIBU). ( SAVE TIME)

3. KUBORESHA UCHUMI WAKO (KWANI GHARAMA ZA GESI,MKAA,KUNI NA UMEME UTAPELEKA KWENYE MATUMIZI MENGINE). (KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA)

4. LINATUNZA VIRUTUBISHO VYOTE KWANI IVYO KUPATA CHAKULA CHENYE LADHA SAFI NA VIRUTUBISHO. ( LINABORESHA AFYA YAKO)

5. HALIPOOZI CHAKULA, LAWEZA TUMIKA KAMA HOTPOT ENDAPO ULITOKA UKAACHA LIKIENDELEA KUPIKA.

6. HALIUNGUZI CHAKULA KWANI HUJIZIMA LENYEWE BAADA YA CHAKULA KUIVA.

7. NI SALAMA KWA MTUMIAJI KWANI LINA SECURITY LOCK IVYO HALIFUMUKI KAMA YA KWENYE GESI NA MKAA.

8. NI RAHISI KUTUMIA.
9. TUNAFATILIA WATEJA WETU NA KUTOA HUDUMA YA KIUFUNDI KWA WATEJA HATA BAADA YA MUDA WA WARRANTY KUISHA.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data