Mara Nyingi Tukianza Na Jinsia Hasa Wanawake,dumbell Zinazofaa Zaidi Huwa Ni Kg Moja (kwa Kukimbilia Na Kwa Wale Weny Mikono Minene Sana Na Wangependa Kukata Nyama Uzembe) Na Kg 2 Kwa Ajili Ya Kutone Body,yaani Kukaza Nyama Sehem Nyingne Za Mwili Na Kuupa Mwili Mwonekano Mzuri,⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kilo Mbili Unaweza Fanyia Mazoezi Mengi Sana Na Pia Unaweza Kuchukua Kilo Yeyote Depending Na Uwezo Wako Na Uzoefu Wako Wa Mazoezi.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kwa Wanaume Ni Kuanzia Kg 5 Na Kuendelea Ndio Zinapendwa Zaidi, Unaweza Ongeza Uzito Kadri Mwili Utavyoenda Unazoea⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
dumbell Huuzwa Kwa Set⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
prices for A Set. ( Zinakua Mbili)⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 1 Ni Tsh 35,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 2 Ni Sh 65,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 3 Tsh 75,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 4 Tsh 85,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 5 Tsh 95,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kwa Mawasiliano Zaidi⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
call/watsap⠀⠀
Dumbells Set 1 Kg & 5 Kg
Description :
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.