Dumbells Set

Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
 • Dumbells Set - Tanzania
Description :

Mara nyingi tukianza na jinsia hasa wanawake,dumbell zinazofaa zaidi huwa ni kg moja (kwa kukimbilia na kwa wale weny mikono minene sana na wangependa kukata nyama uzembe) na kg 2 kwa ajili ya kutone body,yaani kukaza nyama sehem nyingne za mwili na kuupa mwili mwonekano mzuri,⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kilo mbili unaweza fanyia mazoezi mengi sana na pia unaweza kuchukua kilo yeyote depending na uwezo wako na uzoefu wako wa mazoezi.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kwa wanaume ni kuanzia kg 5 na kuendelea ndio zinapendwa zaidi, unaweza ongeza uzito kadri mwili utavyoenda unazoea⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
dumbell huuzwa kwa set⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
prices for a set. ( zinakua mbili)⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 1 ni tsh 35,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 2 ni sh 65,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 3 tsh 75,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 4 tsh 85,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kg 5 tsh 95,000⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
kwa mawasiliano zaidi⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
call/watsap⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data