DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI

DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI - Tanzania
DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI - Tanzania
DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI - Tanzania
  • DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI - Tanzania
  • DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI - Tanzania
  • DHIBITI MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA KIASILI ZAIDI - Tanzania
Description :KATIKA makala yaliyopita nilipokea simu nyingi kutoka kwa wazee, wakilalamika na kuomba msaada wa tiba ya kupambana na tatizo la kuumwa viungo vya mwili. Lakini katika siku za hivi karibuni, siyo wazee tu, bali hata vijana pia wanasumbuliwa na maumivu ya viungo.

Wazee:
Kundi hili linajumuisha watu wa kuanzia umri wa miaka 45 na kuendelea. Idadi kubwa ya wenye matatizo ya maumivu ya viungo, huwa wamepoteza ile nyama ya plastiki kama tuliyozoea kuitafuna juu ya mfupa wa paja la kuku ambayo hukaa katika maungio ya mifupa ya binadamu kama sponji linalo kinga mifupa kugusana na kusagika, hasa sehemu za mgongo, kiuno, magoti na vifundo. Kitaalamu nyama hii hujulikana kama ‘cartilage'.

Wajawazito na wenye vitambi

Binadamu anapoumbwa hupewa mifupa kama fremu ya kumbeba kwa uzito uliokadiriwa kulingana na urefu wake na si vinginevyo. Tumewashuhudia akina mama wajawazito wakitembea kwa shida na hata kuanguka wakati mwingine kutokana na mifupa yao kushindwa kuubeba mzigo wa mtoto tumboni ambaye ni kama dharura kwa wakati huo.

Vivyo hivyo wenye vitambi nao hulalamika sana kuwa wanaumia sehemu za miguu, mgongo, nyayo na kiuno. Kitendo cha kuubadili mwili na kuwa na muonekano wa ‘V', yaani juu kukubwa chini kudogo, huifanya mifupa kushindwa kuubeba uzito wako na kukufanya usikie maumivu sehemu hizo tajwa.
Maumivu haya pia huweza kuwakuta watu wengine bila kujali umri, wakiwemo wagonjwa mahututi, waliopatwa na ajali, n.k. Hata hivyo, wengi hupatwa na matatizo ya viungo kutokana na mwili kukosa lishe inayotakiwa kuufanya mwili ujiendeshe wenyewe.

Tiba asilia za maumivu haya Ni hii LESTOLYF TABS

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data