BrandDell
Description :
Dell monitor P2317H
Inasapoti HDMI,VGA na Display port
Screen resolution n Full HD 1960×1080
Ina ports mbili za usb pembeni kwa ajili ya kusapoti min speakers
Unapewa pia powercable original kwa ajil ya monitor