DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
Description :

(STOMACH ULCERS)

Vidonda vya tumbo limeendelea kuwa tatizo kubwa sana linalotishia afya za binadamu duniani.watu wengi wamekua wakiteswa na tatizo hili pasipo kujua nini sababu ya wao kupata tatizo hili na nini maana ya vidonda vya tumbo na pia ni tahadhari gani wanatakiwa kuchukua ili waendelee kuishi katika afya njema.Leo nitawaelimisha kuhusiana na hili tatizo la vidonda vya tumbo kama ifuatavyo:
Vidonda vya tumbo ni vidonda, michubuko au makovu yanayotokea katika kuta za tumbo (peptic ulcers) au katika kuta za utumbo mdogo juu kidogo ya tumbo (deudenal ulcers).Ambapo tumbo ni mfuko wa chakula ambao husaidia kuhifadhi kwa muda chakula na pia husaidia katika umeng’enyaji wa chakula kwa kukichanganya na kemikali(acids)inayozalishwa ndani ya tumbo,pia kuta za tumbo zimekingwa na utando mzito(mucus) ili kuzuia usiharibiwe na tindikali hiyo wakati wa kumeng’enya chakula.Vidonda hivi husababishwa na Bacteria anayeitwa Helicobactor pylori(H.pylori) ambaye huharibu utando unaokinga kuta za utumbo kutokuharibiwa na tindikali,hvo kusababisha ukuta wa tumbo kuharibiwa na tindikali na kupelekea vidonda katika kuta hizo za tumbo.Lakini pia wakati mwingine husababishwa na matumizi mabaya ya madawa kama vile magnesium,aspirin,naproxen na zinginezo,hizi pia huharibu utando unaokinga kuta za tumbo hivo kupelekea tindikali kuharibu kuta za tumbo na kupelekea vidonda vya tumbo.Bila kusahau mvutaji wa sigara pia anakua kwenye hatari kubwa ya kuwa na vidonda vya tumbo.Pia wakati mwingine husababishwa na mtu kukaa na njaa kwa muda mrefu hivo kupelekea vimeng’enya(Enzymes) kushambulia kuta za tumbo na kusabisha vidonda vya tumbo.

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Unaeza kujua kuwa inawezakana ukawa na vidonda vya tumbo baada ya kuona dalili zifuatazo:
• Kiungulia au maumivu makali Kama ya kuungua katikati ya kifua.
• Maumivu makali ya tumbo
• Wakati mwingine huleta homa kali inayoambatana na kutokua na hamu ya chakula
• Kutapika damu kutokana na damu kutoka ndani kwa ndani(internal bleeding)
• Kujisaidia kinyesi chenye damu.
USHAURI JUU YA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO
Pindi ujionapo na dalili hizo muone mtaalamu wa afya ili akuafanyie uchunguzi utakao ambatana na vipimo(Diagnosis) ili kujua kwamba una vidonda vya tumbo au laa na pia kama majibu yatakuwa chanya aweze kujua nini kisababishi cha vidonda hivo ili iwe rahisi kwa yeyea kukushauri nini cha kufanya.
ILA sasa mtu ambaye ana vidonda vya tumbo hashauriwi kutumia matunda na vyakula vyenye asili ya tindikali (acids) kama vle dagaa, maharage, maziwa mtindi, matunda aina ya citrus kama vle machungwa, limao, machenza, n.k, lakini pia kabeji, pia usitumie chakula chenye chumvi nyingi, pia epuka sana matunda ambayo bado hayajaiva vzuri kama vle maembe ,mapapai,nanasi n.k.Ila cha msingi zaidi usivute sigara wala kunywa pombe na pia tumia dawa kawa utaratibu maalumu baada ya kushauriwa na mtaalamu wa afya na epuka kukaa na njaa muda mrefu.

UKWELI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO (STOMACH ULCERS)

Vidonda vya tumbo limeendelea kuwa tatizo kubwa sana linalotishia afya za binadamu duniani.watu wengi wamekua wakiteswa na tatizo hili pasipo kujua nini sababu ya wao kupata tatizo hili na nini maana ya vidonda vya tumbo na pia ni tahadhari gani wanatakiwa kuchukua ili waendelee kuishi katika afya njema.Leo nitawaelimisha kuhusiana na hili tatizo la vidonda vya tumbo kama ifuatavyo:
Vidonda vya tumbo ni vidonda, michubuko au makovu yanayotokea katika kuta za tumbo (peptic ulcers) au katika kuta za utumbo mdogo juu kidogo ya tumbo (deudenal ulcers).Ambapo tumbo ni mfuko wa chakula ambao husaidia kuhifadhi kwa muda chakula na pia husaidia katika umeng’enyaji wa chakula kwa kukichanganya na kemikali(acids)inayozalishwa ndani ya tumbo,pia kuta za tumbo zimekingwa na utando mzito(mucus) ili kuzuia usiharibiwe na tindikali hiyo wakati wa kumeng’enya chakula.Vidonda hivi husababishwa na Bacteria anayeitwa Helicobactor pylori(H.pylori) ambaye huharibu utando unaokinga kuta za utumbo kutokuharibiwa na tindikali,hvo kusababisha

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data