DAWA YA UZAZI MWANAUME

DAWA YA UZAZI MWANAUME - Tanzania
  • DAWA YA UZAZI MWANAUME - Tanzania
Description :

Moja Kati ya dalili kuu ya ugumba kwa mwanaume Ni kushindwa kumpatia mwanamke ujauzito,
Zipo sababu mbali mbali zinazochangia matatizo ya uzazi mwanaume,sababu Kama ABNORMAL SPERM PRODUCTION OR FUNCTION kutokana na korodani kuwa undescended, matatizo ya kienejetic,kuwepo kwa magonjwa sugu Kama kisukari,Kama unainfections Kama Chlamydia,HIV, Kisonono,kukua kwa vein zinazounganisha korodoni (Varicocele),

Matatizo katika utoaji wa mbegu za kiume ,Hali inajumuisha uwepo wa tatizo la kuwahi kufika kileleni,kushindwa kurudia tendo,kukosa hamu ya tendo ama kutosimamisha uume, matatizo mengine yanahusika kuziba kwa mirija inayotoa mbegu ama kwa sababu ya ajari,kuumia ama uvimbe.

Matatizo mengine yanahusisha vyakula na vinywaji Kama pombe Kali matumizi ya sigara , matumizi ya dawa kutibu magonjwa sugu ,pia hata matibabu ya saratani yanahusisha mionzi.

Mazingatio epuka matumizi ya madawa na vinywaji vikali,epuka kukaa mazingira ya joto linaweza kuathiri uzalishwaji wa mbegu, tumia vyakula vya mizizi na matunda pamoja na mbegu Kama karanga , korosho,Nazi,mbegu za maboga , tafuna mihogo mbichi nk, pia pata matibabu kuendana na aina ya chanzo Cha tatizo lako utakuwa sawa.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data