DAWA YA UKAVU UKENI.

DAWA YA UKAVU UKENI. - Tanzania
  • DAWA YA UKAVU UKENI. - Tanzania
Description :

Ukavu ukeni Ni tatizo linalosumbua wanawake wengi ,hali inayopelekea kushindwa kufurahia tendo la ndoa kwa kupata maumivu makali na michubuko au hata kukosa hamu ya tendo la ndoa.

Zipo sababu kadhaa zinazochangia kupata tatizo Hili ikiwemo ,kutoandaliwa vizuri wakati wa tendo la ndoa , msongo wa mawazo (stress), Uchovu wa kazi, lishe duni ,kuwepo wa magonjwa mengine yanayoathiri mfumo wa uzazi na mkojo, lakini pia Kama unatumia uzazi wa mpango.

Unaeza kuondokana na tatizo Hili kwa kufanya yafuatayo kwanza kabisa hakikisha unaandaliwa vizuri wakati wa tendo la ndoa, punguza msongo wa mawazo ,pata mda mzuri wa kupumzika ,kula vyakula vya nyuzi nyuzi na mizizi Kama tembele,mlenda,bamia ,na matunda kula vyakula vya mafuta ya asili Kama karanga , korosho,nazi,alezet, pia tumia asali mbichi kwa wing at least utumie vijiko viwili asubu na jioni either katika chai yako au unaeza kuinywa yenyewe tu., Fanya mazoezi na unywe Maji mengi katika mlo mhimu Sana kuepuka vyakula ambavyo vina mafuta mengi na vile vya kusindikwa....

Kama unazingatia haya yote lakini bado tatizo linakusumbua unahitaji msaada zaidi wa Kitabibu maana tatizo linatibika na unahitaji kufurahia tendo la ndoa wakati wote.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data