Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis)

Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis) - Tanzania
Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis) - Tanzania
Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis) - Tanzania
  • Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis) - Tanzania
  • Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis) - Tanzania
  • Dawa Ya Ugonjwa Wa Viungo Na Maumivu Na Uvimbe (arthritis) - Tanzania
Description :

Dawa ya ugonjwa wa viungo maumivu na uvimbe

chanzo cha huu ugonjwa hakijulikani vizuri..lakini inasemeka inaweza kusababishwa na mwiliwako wenyewe kujishambulia...(auto-immune disease). Mara nyingi kama iko serious sana mtu huwa anaweza kuchomwa sindano za steroids kama prednisolone inj ili kupunguza kasi ya mwili wako kujishambulia (immune suppresion), kupunguza uvimbi (inflammation), na maumivu.....lakini mara nyingi matibabu yake huanza kwa kutumia dawa za maumivu kama, i) paracetamol, halafu ii) ibuprofen (au dawa nyingine za hii jamii kama diclofenac etc), mchanganyiko wa i) & ii), halafu pengine methotrexate (dawa kali sana, kama ugonjwa umezidi kuongezeka, inatumika mara moja kwa wiki).....ila hii dawa c24/7 imeonekana inasaidia na wahanga wengi wanapona...

dalili zake joint za kwenye mkono karibu na vidole, joint za magoti zinakaza pia kuvimba, a
mtu anachemka na maumivu makali.

huu ni autoimmune disease so una attack (shambulia) kwenye joint (maungio) ambako kuna synovial fluid na kusababisha inflammation(kuvimba) vilevile hupelekea mpaka cartilage kulika labisa ambazo hupatikana kwenye kingo za mifupa

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data