DAWA YA TATIZO LA UGUMBA/KUTOSHIKA MIMBA MWANAMKE

DAWA YA TATIZO LA UGUMBA/KUTOSHIKA MIMBA MWANAMKE - Tanzania
  • DAWA YA TATIZO LA UGUMBA/KUTOSHIKA MIMBA MWANAMKE - Tanzania
Description :

Tatizo la UGUMBA Ama KUTOSHIKA Ujauzito huambatana na viashiria kadhaa ambavyo mwanamke akiwa Navyo sio Rahisi kushika ujauzito Viashiria hivyo Ni pamoja na

KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA.
Usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.
Kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kuwa hupevushi mayai kila mwezi. Hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi na sio ili mradi yai bali yai bora linaloweza kurutubishwa.

KUACHA KUONA SIKU ZAKO GHAFLA.
Kama hujafikia menopause(kipindi mwanamke anastop kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi. Ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo huwezi kubeba ujauzito bila kupevusha yai.

KUTOKWA DAMU NYINGI, NZITO NA YENYE MABONGE KAMA VIPANDE VYA MAINI (VINYAMA NYAMA)WAKATI WA HEDHI HUASHIRIA KUWA HORMONE HAZIJABALANCE

kutobalance kwa hormone huvuruga uzalishaji wa mayai bora.

MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA YANAYOAMBATA NA UCHAFU MWEUPE MZITO KAMA MAZIWA YA MGANDO AMBAYO HUASHIRIA KUNA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE.

KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MAUMIVU CHINI YA KITOVU.

KUKOSA KABISA HAMU YA TENDO LA NDOA PIA KUSIKIA DALILI ZOTE ZA UJAUZITO IKIWA SIO MJAMZITO HUONYESHA KUNA INFECTIONS KATIKA KIZAZI.

Hizo ni baadhi ya dalili Mbaya kwa mwanamke ambaye bado hajawahi Kubeba ujauzito, Ni Dalili Mbaya Pia Kwa Mwanamke Ambaye Tayari ana Mtoto/Watoto Na unapoona dalili hizi Usikae kusubiri muujiza Jinasue kwenye mtego huo kwa kutafta suluhisho na uzuri dawa yake hiyo tuwasiliane kwa msaada na ushauri zaidi.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data