DAWA YA PID

DAWA YA PID - Tanzania
DAWA YA PID - Tanzania
 • DAWA YA PID - Tanzania
 • DAWA YA PID - Tanzania
Description :

PID - PELVIC INFLAMATORY DISEASES.
Ni madhara yatokanayo na wadudu Aina ya bacteria Hasa hasa Gonorrhea au chlamydia walio shambuliwa via vya uzazi, mirija ya fallopian, mifuko ya mayai(ovaries), mfuko wa uzazi(uterus), shingo ya kizazi na uke pia
PID ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi sana na Mara nyingi bila kujua ni PID.

SABABU ZA PID.
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kupata PID.
#Kufanya ngono isiyo salama.
#Maambukiz ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama au mara baada ya mimba kuharibika.
#Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi "intrauterine Device IUD".

DALILI ZA PID NI KAMA ZIFUATAZO;
•Kichefuchefu
•kutapika
•homa za Mara kwa Mara
•maumivu wakati wa kukojoa
•maumivu wakati wa sex yanayoweza
kuambatana na damu
•uume kutoka na uchafu baada ya sex (unatoka kwa mwanamke )
• maumivu ya tumbo chini ya kitovu
• maumivu ya mgongo
•kutokwa na uchafu ( discharge) ukeni unakuwa ya rangi ya maziwa, kahawia, njano au kijani
•kutokwa na majimaji ukeni yenye harufu mbaya na wakati mwingine usaha
•harufu mbaya/ shombo ukeni
•kupata hedhi bila mpangilio

MADHARA YA PID.
Maambukiz kweny njia ya kizazi husababisha madhara makubwa sana kwa mwanamke kama UGUMBA na mimba kujishikiza mahali pasipo sahihi tofaut na mfuko wa mimba "ectopic pregnancy"na kadri unavyoumwa PID ndivyo hatar ya UGUMBA inavyoongezeka, pia Ni Rahisi kupata maumivu ya tumbo la chini yasioisha kwa mda mrefu ,pia UChafu ama maji maji kwenye mfuko wa uzazi "Uterus" na miraja ya uzazi fallopian tube, pia Ni Rahisi kupata Ovarian cycyt ukiwa na PID.

MATIBABU YA PID;
Matumizi ya antibiotics Mara baada ya vipimo huwa yanahusika Ila Ni mhimu Sana kufatilia maendeleo ya matibabu ili kutibia tatizo kuisha pia C24/7 ikitumika pamoja na complete inasaidia kumaliza tatizo kutokana na kuwa na viinilishe vinavyodhibiti chanzo Cha tatizo kwa ufanisi mkubwa kwa wahanga wa tatizo.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data