Dawa ya ngiri, busha na tezi dume

Dawa ya ngiri, busha na tezi dume - Tanzania
  • Dawa ya ngiri, busha na tezi dume - Tanzania
Description :

Tezi dume *ni tezi lililo karibu na kibofu cha mkojo ambalo hutoa majimaji yanayotoka kwenye uume pamoja na shah*wa*. na tezi dume kila mwanaume anayo na uwepo wake sio ugonjwa, ila ikivimba ndio inakuwa ugonjwa.


*Busha ni mkusanyiko wa maji kwenye pu*bu/korodani*. Na uwepo wa busha ni ugonjwa.

prostate Grand ni tezi dume, scrotum ni korodani so hapo maji yakijaa inakuwa busha.

Kutokana mahali ilipo tezi dume, sisi wataalamu huipima kwa kidole kupitia kwenye njia ya haja kubwa na kuigusa ili kujua kama imevimba au haijavimba.

Na tatizo la tezi dume kuvimba ni la kawaida kwa wanaume wenye umri zaidi ya miaka 55.

Na huwa tunashauri wanaume wakifika umri huo wafanyiwe vipimo mara moja kwa mwaka hasa wale ambao kwenye familia zao kuna mtu aliyepata tatizo hilo ili kuweza kutibia uvimbe mapema.


Madhara ya uvimbe wa tezi dume ni pamoja na kuziba njia ya mkojo na mtu kushindwa kabisa kukojoa. Iwapo uvimbe huo utakuwa kansa huweza kusambaa mwilini na kuathiri viungo vingine.

Matibabu yake inategemea yote ugonjwa umefikia stage gani hapo

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data