DAWA YA KUPUNGUZA TUMBO, UNENE ,KITAMBI KWA WANAUME NA WANAWAKE

DAWA YA KUPUNGUZA TUMBO, UNENE ,KITAMBI KWA WANAUME NA WANAWAKE - Tanzania
  • DAWA YA KUPUNGUZA TUMBO, UNENE ,KITAMBI KWA WANAUME NA WANAWAKE - Tanzania
Description :

WANAWAKE wengi siku hizi wanakabiliwa na tatizo la kuwa na tumbo kubwa kupita kiasi, hali inayosababishwa na mlundikano wa mafuta tumboni.

Mlundikano huo wa mafuta hutokea sehemu ya chini ya tumbo na tumbo lote kwa ujumla. Hali hii huwafanya wengine waonekane kama wajauzito kumbe ni mafuta tu yamezidi tumboni.

Kwa ujumla ni vigumu mno kupunguza tumbo la namna hii, hivyo ni muhimu zaidi kufahamu visababishi vya tatizo lenyewe, dawa za asili zinazoweza kuondoa tatizo hilo na aina ya maisha unayotakiwa kuishi ili kufanikiwa kirahisi kuepukana na adha hiyo.

UTAJUAJE UNA KITAMBI

Kitambi kinaweza kuonekana kirahisi kwa macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo vya kiuno(waist) na nyonga (hips).

Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au 40 kwa wanaume na >88 cm au 35 kwa wanawake, na uwiano wa kiuno na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa wanawake.

BMI ya 30 au zaidi inaashiria ‘Obese’ uzito kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo uliozidi kawaida ni kiashiria hatari cha matatizo ya kimetaboliki, kuliko hata cha BMI.

Kipimo kingine cha kitambi ambacho kimeonyesha uwezo zaidi kuliko BMI katika kutabiri uwezekano mkubwa wa magonjwa ya moyo ni Index Of Central Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano ukiwa sawa na 0.5 au zaidi, hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya kimo cha mtu.

Kipimo kingine ni Body Volume Index, kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na mgawanyo wa uzito wake.

Nini kinasababisha tumbo kwa kina mama

Sababu kubwa ya kina mama kuwa na mafuta mengi tumboni ni kula vyakula feki (Junk food), kutumia vyakula vya wanga kupita kiasi, kutokunywa maji ya kutosha kila siku, kula chakula kizito muda mchache kabla ya kwenda kulala.

Sababu nyingine ni kukaa saa nyingi kwenye kiti, kutofanya mazoezi, kuwa na msongo wa mawazo, kula wali kila siku, ugali wa sembe, kula vyakula vinavyopikwa katikati ya mafuta mengi kama chipsi na maandazi.na kula nyama za mafuta mengi tunatowa tiba na ushauri wasiliana Nami tatizo lako tulitatue mapema welcome

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data