Dawa ya Bawasiri

Dawa ya Bawasiri - Tanzania
Dawa ya Bawasiri - Tanzania
  • Dawa ya Bawasiri - Tanzania
  • Dawa ya Bawasiri - Tanzania
Description :

BAWASIRI IMEGAWANYIKA KWENYE NGAZI 4 ZIFUATAZO:

Ngazi ya I: Kuna vivimbe vidogo, mara nyingi ndani ya kuta za mkundu. havionekani.

Ngazi ya II: Bawasiri ngazi ya II ni kubwa kuliko ngazi ya I, lakini pia ubakia ndani ya mkundu. Vinaweza kusukumwa nje kipindi kinyesi kinapopita, lakini hurudi bila kusaidiwa.

Ngazi ya III: Bawasiri hii pia hufahamika kama prolapsed hemorrhoids, na huonekana nje ya mkundu. Mtu huhisi vivimbe hivi kuning’inia kutoka kwenye puru, lakini vinaweza kurudishwa ndani.

Ngazi ya IV: Vivimbe hivi haviwezi kurudishwa ndani na huitaji matibabu. Ni vikubwa na hubakia nje ya mkundu.

Pata dozi ya bawasiri leo bila upasuaji.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data