DAWA YA BAWASIRI

DAWA YA BAWASIRI - Tanzania
  • DAWA YA BAWASIRI - Tanzania
Description :Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa yaweza kutoka kinyama kwa haja kubwa au kukawa tu na maumiv makali

kuna aina mbili za Bawasiri

Ya Nje, Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo au kuchoma choma. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu hupasuka na damu huganda

Ya Ndani ,Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.

Aina hii ya pili imegawanyika ktk hatua zifuatazo

Daraja I Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida

Daraja II Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.

Daraja III Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.

Daraja IV Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Sababu kubwa zinazopelekea kupata tatizo hili ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa Siku ,pili,Lishe duni (lishe isiyozingatia afya bora hasa kutokula matunda na mboga mboga, tatu kufanya kazi ngumu na kunyanyua vitu vizito,NNE kukaa au kusimama eneo moja kwa mda mrefu pia Kama Ni mjamzito ama umetoka kujifungua nk

Namna ya kuondokana na tatizo hili

Zingatia ulaji wa matunda na mboga mboga kwa wingi ,kunywa maji ya kutosha kwa Siku angalau glass nane mpaka kumi ,Epuka kukaa eneo moja au kusimama eneo moja mda mrefu ,pia pata mda mzuri wa kupumzika endapo unafanya kazi ngumu.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data