DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI AU MAAMBUKIZI YA BACTERIA NA TIBA YAKE

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI AU MAAMBUKIZI YA BACTERIA NA TIBA YAKE   - Tanzania
  • DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI AU MAAMBUKIZI YA BACTERIA NA TIBA YAKE   - Tanzania
Description :

DALILI ZA TEZI DUME KUVIMBA AU MAAMBUKIZI YA BACTERIA

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara

2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo

4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu

5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho

6.Kujichafua wakati wa kukojoa

7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.

8.Damu kwenye mkojo

9.Kushindwa kukojoa kabisa.

10.Kupata mkojo mchache sana


Kuwa na dalili tajwa hapo juu pekee hakuwezi kukupa uhakika kuwa una tatizo la tezi dume.

Kwani dalili tajwa hapo juu zinaweza kuambatananna shida nyingine za kiafya kwa mfano:-

1.Maambukizi ya UTI

2.Kuvimba kwa tezi

3.Kupunguwa
ukubwa wa mrija wa mkojo

4.Kuwepo na vijiwe kwenye kibofu

5.Kuwa na shida kwenye mfumo wa neva ambazo hudhibiti ufanyaji kazi wa kibofu

6.Kuwa na saratani

7.Kama upasuaji katika kibofu haukufanyika sawa.


Ni zipi athari za tezi dume kama haitawahi kutibiwa?

Tezi dume ni kama maradhi mengine, inatibika bila wasi.

Hata hivyo endapo matibabu yatachelewa athari zifuatazo zinaweza kupatikana:-

1.Kushindwa kabisa kukojoa

2.Kupatwa na maambukizi ya UTI

3.Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu

4.Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea

5.Figo inaweza kuharibika


Mwisho

Mwisho napenda kumaliza kwa kusema kuwa tatizo la tezi dume linatibika bila wasi.

Zipo dawa za hospitali mgonjwa anaweza kupewa. Kamatatizo lake ni kubwa zaidi anaweza kufanyiwa upasuaji

Tupo na bidhaa zinazoweza kutoa uvimbe wa Tezi dume au bila upasuaji

Tunapatikana
Arusha
Mwanza
Dodoma
Mbeya
Morogor
Dar es salaam
Lind na nk

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data