DALILI NA TIBA TEZI DUME NA TIBA BILA UPASUAJI

DALILI NA TIBA TEZI DUME NA TIBA BILA UPASUAJI - Tanzania
  • DALILI NA TIBA TEZI DUME NA TIBA BILA UPASUAJI - Tanzania
Description :

FAHAMU TIBA YA UGONJWA WA TEZI DUME

Ugonjwa wa tezi dume unawasumbua wanaume wengi sana. Imefikia hatua wanaume wanaficha na kuona aibu. Hakuna haja ya kuendelea kuteseka na tezi dume pamoja na changamoto zake. Tiba ipo ya uwakika ndani ya siku 84 tu.

Tezi dume inatibika bila upasuaji, ikitokea umeshafanyiwa upasuaji Tunakinga tatizo lisijirudie tena na kurudisha uwezo wako wa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi mkubwa.

---
Ugonjwa wa tezi dume Miongoni mwa dalili zake ni:-

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo
4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Kujichafua wakati wa kukojoa
7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.
8.Damu kwenye mkojo
9.Kushindwa kukojoa kabisa.
10.Kupata mkojo mchache sana

Kuwa na dalili tajwa hapo juu pekee hakuwezi kukupa uhakika kuwa una tatizo la tezi dume. Kwani dalili tajwa hapo juu zinaweza kuambatananna shida nyingine za kiafya kwa mfano:-
1.Maambukizi ya UTI
2.Kuvimba kwa tezi
3.Kupunguwa ukubwa wa mrija wa mkojo
4.Kuwepo na vijiwe kwenye kibofu
5.Kuwa na shida kwenye mfumo wa neva ambazo hudhibiti ufanyaji kazi wa kibofu
6.Kuwa na saratani
7.Kama upasuaji katika kibofu haukufanyika sawa.

Athari za tezi dume kama haitawahi kutibiwa?
Tezi dume ni kama maradhi mengine, inatibika bila wasi. Hata hivyo endapo matibabu yatachelewa athari zifuatazo zinaweza kupatikana:-
1.Kushindwa kabisa kukojoa
2.Kupatwa na maambukizi ya UTI
3.Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4.Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
5.Figo inaweza kuharibika

ZINGATIA
Tuna dawa za asili kwa kuondoa tatizo la kuvimba kwa tezi dume bila kufanyiwa upasuaji na kuondoa changamoto zote anazopata mgonjwa wa tezi dume.
Ni nzuri kwa wanaume wote kwa ajili ya kutibu na kukinga.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data