DALILI,MADHARA KUVIMBA TEZI DUME NA TIBA

DALILI,MADHARA KUVIMBA TEZI DUME NA TIBA - Tanzania
  • DALILI,MADHARA KUVIMBA TEZI DUME NA TIBA - Tanzania
Description :

IJUE TEZI DUME NINI DALILI MADHARA NA TIBA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME BILA UPASUJI

Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ykwa iume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

*NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.*

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.
•Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).

•Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic
Hypertrophy-BPH).

•Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME

•Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen).

SARATANI YA TEZI DUME

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani.

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea.

VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;
•Umri, Wanaume wenye umri kuanzia
miaka 40 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume.

•Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama.

•Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic).

•Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME.

Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume Isiyokuwa Saratani (BPH).
Dalili hizo ni pamoja na;

•Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

•Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

•Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

•Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

•Kutoa mkojo au manii
yaliyochanganyika na damu.

•Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama Saratani imesambaa.

•Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

UCHUNGUZI / UPIMAJI

•Uchunguzi kwa kutumia kidole cha shahada kupitia njia ya haja kubwa na kuhisi ukubwa wa tezi kwenye ukuta wa puru.

•Kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya ‘protein’ iitwayo ‘Prostate
Specific Antigen (PSA), proten’ hii huwa juu kuliko kawaida kama mtu ana Saratani ya Tezi Dume na wakati mwingine kama ana maambukizi (prostatitis).

•Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate Biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabara.

•Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonyesha ukubwa na sura ya tezi dume.

•Vipimo vya CT scan, MRI kutambua kama Saratani imesambaa sehemu nyingine za mwili.

TIBA YA UVIMBE,SARATANI INATIBIKA BILA UPASUAJI

Wasiliana nasi kwa Ushauri Juu ya tezi n Tiba

#tezidumeninini
#madharayakuvimbakwatezidume
#daliliyakuvimbakwatezidume
#tibayatezidume

Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi juu ya tezi dume

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data