In partnership with:
Cart

ConstiRelax

Price:
TZS 75,000
items left

Out of stock

Product Location:Dar Es Salaam - Dar Es Salaam City
Estimate Shipping Fees
Be the first to like this product

Seller information

Payments
Return Policy
Returns accepted within 14 days. Return offered in the form of Product exchange. Buyer is the responsible for the shipping fees.

Product Details

WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!! ~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe. ~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles ~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30-50 AINA ZA BAWASIRI-Kuna Aina mbili za bawasiri (A) BAWASIRI YA NDANI-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hiti-Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa-Aina hii imegawanyika katika madaraja manne (1)DARAJA LA KWANZA-Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika (2)DARAJA LA PILI-hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia. (3)DARAJA LA TATU: hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe. (4)DARAJA LA NNE: hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi (B)BAWASIRI YA NNJE-Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makati na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kugand na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS CHANZO CHA TATIZO-chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni -KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE -KUHARISHA KWA MUDA MREFU -TATIZO LA KUTO PATA CHOO -MATATIZO YA UMRI -KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU -UZITO KUPITA KIASI -MATUMIZI YA VY00 VYA KUKAA KWA MUDA MREFU Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
Other
New
0.34 kg

Customer Questions (1)

fatma swai
fatma swai | 2 months ago | 1 reply likes
Which product is suitable for weight loss?
1 more messages in this conversation - see all
Listing ID - OT028HEASF0NTZBID
Report this item