Transaction Typesell
Area668 m2
Description :
⚫viwanja vipo 45 km kutoka fery
⚫bei yake ni [email protected]
⚫malipo utaanza na millioni moja, kisha utamalizia iliyobaki kwa awamu.
⚫viwanja vimepimwa na vina hati.
⚫vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia sqm 668 hadi sqm 1,300.
⚫ kutembelea site ni kila siku.
⚫tuna miradi mingine maeneo ya kigamboni kama cheka, kisota , mbutu, ..pia tuna miradi maeneo ya madale mivumoni, bunju a..kibaha tuna miradi maeneo ya vikawe, pangani, misugusugu, mapinga, fukayosi, vigwaza na kwa dodoma tuna miradi maeneo ya ihumwa, chamwino, iyumbu, iyumbu, kitelela, nala, chahwa na itega.