Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu

Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu - Tanzania
Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu - Tanzania
Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu - Tanzania
 • Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu - Tanzania
 • Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu - Tanzania
 • Chekeni Mwasonga tunauza Viwanja Kwa Bei nafuu - Tanzania

Transaction Typesell

Area810 m2

Description :

⚫Viwanja hivi vinepimwa na vina hati.
⚫Viwanja vinapatikana umbali wa Kilometre 45 kutoka fery
⚫Bei yetu ni ya punguzo yaani 7,000 kwa square meter moja.
⚫Malipo ni cash au kwa awamu mpaka miezi 6.
⚫Anza na Million moja kisha utamaliza iliyobaki kwa awamu.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Viwanja ni vizuri kwa makazi na biashara.
⚫Vipo vingi vya ukubwa mbalimbali.
⚫Pia tuna miradi mingine maeneo ya Cheka Kigamboni,Mbutu Beach Plot Kigamboni, Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya, Mapinga Bagamoyo, Vikawe, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, na kwa Dodoma pia tuna miradi ya viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Itega, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu West...
⚫Ofisi zetu kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall..Karibuni sana

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data