CHANZO UKE KUWA MKAVU

CHANZO UKE KUWA MKAVU - Tanzania
  • CHANZO UKE KUWA MKAVU - Tanzania
Description :

FAHAMU SABABU ZA UKE KUWA MKAVU

Ikimbukwe ni salama kwa uke kuwa mkavu katika mazingira yasiyo ya kujamiiana. Pia sio kiafya kwa uke kuwa mkavu wakati wa kujamiana na pia wakati mwingine huwa ni tatizo la kiafya.

♧Maandalizi yasiyotosheleza kabla ya kujamiana husababisha uke kuwa mkavu maana mwanamke anakuwa hayuko tayari kiakili kufanya tendo la kujamiiana.

♧Kukauka kwa uke katika umri wa 45+ huwa ni kiashiria cha ukomo wa hedhi kwa mwanamke. Lakini kama uke unakauka chini ya miaka 45 huwa ni tatizo la Afya ambalo huweza kuchangiwa na fangasi katika uke na kutokukaa sawa kwa homoni (hormonal imbalance) kwa mwanamke. Inashauriwa Mwanamke amuone Dactari kama ana tatizo hili ili apate ushauri zaidi, pia matumizi ya vilainishi kama K-Y jelly wakati wa kushiriki tendo la ndoa yameonyesha kusaidia katika hili tatizo.

♧Kutokuwa na hisia wakati wa tendo la ndoa pia kutokuwa na mapenzi na mwanaume unayeshiriki nayetendo la ndoa. Yote husababisha uke kuwa mkavu

♧Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu mfano masaa mawili. Pia msongo wa mawazo kwa Mwanamke na kutokuwa interested kiakili na kimazingira na tendo lile la ndoa. Pia ufanyaji mbovu wa tendo la ndoa mfano wanasema 'nje ndani nje ndani bila kuwepo na kuliwazana na kuwasiliana katika tendo la ndoa'. Yote hupelekea uke kuwa mkavu wakati wa tendo la ndoa.

SULUHISHO
Tumia Virutubisho lishe bora kumaliza tatizo hilo kabisa hata kama utafanya tendo la ndoa kwa mrefu.


Kama una tatizo la kuwa na ukavu ukeni, miwasho, vipele na michubuko au hupati hamu ya tendo la Ndoa Basi Wasiliana nasi kwa ushauri na matibabu zaidi
Tupigie

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data