CHANZO NA TIBA YA HEDHI NYINGI NA MAUMIVU MAKALI

CHANZO NA TIBA YA HEDHI NYINGI NA MAUMIVU MAKALI - Tanzania
  • CHANZO NA TIBA YA HEDHI NYINGI NA MAUMIVU MAKALI - Tanzania
Description :

JE TATIZO LA KUPATA HEDHI NYINGI KUPITA KIASI LINASABABISHWA NA NINI⁉️
*~ Kupata Hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi,Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000,wanawake 53 kati yao huwa na Tatizo la kupata hedhi kupita kiasi.Ni theruthi tu ya wanawake wenye shida ya hedhi hutafuta tiba stahiki kwa daktari,lakini wengi hukaa nalo hili Tatizo kwa kuona aibu au hofu

Makala hii imegusia lugha rahisi Visababishi vya hedhi kutoka nyingi ili itoe mwanga kwa wanawake kutafuta Tiba pale wanapokabiliwa na Changamoto hii*

Je❗ Ni wakati gani mwanamke anatakiwa kuhisi kuwa anapata hedhi kupita kiasi⁉️

📍 *Unapopata hedhi inayozidi siku 7*
📍 *Unapata hedhi nzito inayofanya ubadiri pedi moja ndani ya Massa mwili*
📍 *Unapata hedhi nzito inayolowesha hadi nguo za nje*
📍 *Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuamka usiku kubadiri pedi*
📍 *Hedhi inayatoka na mabonge*

SABABU GANI HUWEZA KUCHANGIA MWANAMKE KUPATA HEDHI NZITO KUPITA KIASI⁉️

📍 *Vivimbe kwenye kuta za mji wa kizazi (vivimbe hivi sio saratani huitwa fibroids)*

📍 *Yai kupevuka bila mpangilio (irregular ovulation) hali hii husababisha kuta za mji wa mimba zivimbe na kuwa Nene hivyo kutoa damu nyingi. Hutokea zaidi kipindi cha kuvunja ungo na kipindi cha kukaribia ukomo hedhi*

📍 *Matatizo ya kugandisha damu*
*Matatizo ya dawa za kuzuia damu kuganda*

*Baadhi ya wanawake waliotumia Vitanzi (IUD)hasa ndani ya mwaka wa kwanza*

📍 *Maambuzi ya mji wa mimba na mirija ya uzazi (P.I.D)*

📍 *Endometriosis*
*~Saratani ya mji wa kizazi kwa kina mama waliofikia umri wa ukomo wa hedhi,wakianza kupata hedhi isiyokomo huweza kuwa dalili ya saratani ya mji wa kizazi*

*ATHARI ZA HEDHI NZITO KUPITA KIASI KWENYE AFYA*

📍 *Hedhi nzito kupita kiasi huchangia wanawake wengi kupata upunguvu wa damu*
*Hedhi kuwa nzito kupita kiasi huweza kuwa Ni dalili ambayo unahitaji tiba kwa haraka*

*Huweza kuchangia kudhoofisha afya ya akili ya mwanamke ikiwemo kujiamini na wasiwasi*

NINI HUFANYIKA UNAPOMUONA MTAALAMU WA AFYA KUHUSU TATIZO LA KUPATA HEDHI KUPITA KIASI❗❗

📍 *Unapomuona daktari atachukua historia yako afya yako kwa ujumla*
📍 *Historia ya dawa Zote anazotumia*

Wasiliana nasi kupata Ushauri zaidi na TIBA
#BFsuma Tanzania

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data