CHANGO LA UZAZI NI NINI? DALILI NA TIBA

CHANGO LA UZAZI NI NINI? DALILI NA TIBA - Tanzania
  • CHANGO LA UZAZI NI NINI? DALILI NA TIBA - Tanzania
Description :

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI chango la Uzazi, haya ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZAKE
Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.
Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
Ni vigumu kumpa mimba mwanamke

Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-

•Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
•Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
•Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
•Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
•Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
•Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
•Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
•Kupata uvimbe kwenye kizazi
•Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

MADHARA YAKE KWA MWANAMKE
•Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
•Kuingia na kutoka kwa mimba
•Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
•Kuwa na uke mdogo sana.

TIBA NA USHAURI.
Mara kadhaa Unashauriwa kufanya vipimo kubaini chanzo Cha Tatizo lako na Kuna wakati Daktari atakushauri Ubebe Mimba na ujifungue kawaida ili kuondoa Tatizo ,pia Tunazo dawa za Asili/ naturalceutical mahususi kwa Ajiri ya Chango la uzazi Mwanaume na Mwanamke
Wasiliana nasi sasa

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data